Kirufiji (au Kiruihi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warufiji. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kirufiji imehesabiwa kuwa watu 200,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Pwani.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.